Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Mandhari hiyo ilishuhudiwa katika mazingira ya utulivu na maombolezo makubwa, huku waliohudhuria wakionesha heshima na unyenyekevu wakati wa kushusha mwili wa shahidi huyo. Tukio hilo limeibua hisia za majonzi miongoni mwa wafuasi na wananchi wengi waliokuwa wakifuatilia safari ya mwisho ya kiongozi huyo.
Tazama video ifuatayo inayoonesha wakati huo wa kihistoria na wa kugusa hisia:
Tazama video ifuatayo inayoonesha wakati huo wa kihistoria na wa kugusa hisia:
Maoni yako